UTARATIBU WA MALIPO YA KPS

UTARATIBU WA MALIPO YA KPS
Malipo yoyote ya wanafunzi wa KPS yanafanyika kwa njia zifuatazo:
1. Wanaotumia tigo pesa watalipa kupitia namba ya Kampuni 202023 ambapo kwenye menu ya tigo pesa mteja ataenda kwenye sehemu ya lipia bill na kuandika namba ya kampuni 202023 itakayofuatiwa na kuandika reference number ambayo mteja ataandika level/Course anayosoma kwa kifupi (F1,F2,P2,P3…..nk) ikifuatiwa na jina lake kamili Mfano P1 John Msami,Kwenye kuhakikisha muamala jina la Kampuni litatokea KPS-TZ.

2. Wale ambao hawana Tgo pesa watalazimika kuendelea kulipa kwa kuhamisha pesa kutoka account zao za simu au bank kwenda CRDB Account No. 0150268145500 yenye Jina: KP Professional Services and General Supplies.

3. Ambao hawatumii miamala ya simu watatakiwa kwenda CRDB bank kulipa kwenye account iliyotajwa hapo juu.

NB: Katika aina zote za Miamala Mteja atatakiwa kuja ofisini na udhibitisho wa malipo ili apewe risiti ya KPS. Kwa Maelezo zaidi tutafute kwa 0710302814 (DSM), 0710302815 (MWANZA) na 0710302816 (DODOMA)
KPS- Shine with profession .

Post a comment

You must be logged in to post a comment.